# Abishai Hili ni jina la mwanamme # Itai Hili ni jina la mwanamme # Mmtendee kwa upole kwa ajili yangu "Kwa ajili yangu, msimdhuru." Kifungu "mmtendee kwa upole" inamaanisha kuwa mpole kwa mtu bila kumdhuru. # Kwa ajili yangu "faida yangu" au "kwa ajili yangu" # kijana, pamoja na Absalom "Kijana Absalomu"