# Ikawa Kifungu kinatambulisha tukio linalofuata katika habari # Mahanaimu... Raba... Lo Debari... Rogelimu Haya ni majina ya miji au sehemu. # Shobi... Nahashi... Makiri... Amieli... Barzilai Haya ni majina ya wanaume. # Mwamoni... Mgileadi Haya ni majina ya makundi ya watu # magodoro na mabulangeti godoro ni kitu laini cha kulalia, na blangeti ni nguo ya kujifunika ili kupata joto. # Unga Unga ni nafaka iliyopondwa kuwa laini na unatumika kutengeneza mkate au ugali. # Iliyookwa "Iliyopikwa" # Maharage mbegu zipikwazo kwa kuliwa # dengu Ni aina ya mbegu zinazopikwa na kuliwa # siagi maziwa yaliyoganda na kuwa magumu # Kiu Hitaji la maji ya kunywa au kimiminika kingine.