# Kwani ni nani ninayepaswa kumtumikia? Je sipaswi kutumika mbele za mwana? Hushai anauliza swali hili kusisitiza kwamba anataka kumtumikia Absalomu.