# Shimei alikwenda kando yake juu ya upande wa kilima Shimei alikuwa akitembea sambaba na Daudi na watu wake, japokuwa Shimei alikuwa juu upande wa kilima.