# Bahurimu Jina la mahali # Shimei... Gera Haya ni majina ya wanaume # Badala ya "Hata hivyo kulikuwa na" # Walinzi Hawa ni watu wanaomlinda mtu mhimu.