# Waliokuwa wamearikwa Inamaanisha "watu waliokuwa wamepewa taarifa" # Wakaenda katika ujinga wao Hawakuwa wanatambua kwa undani kilichokuwa kinakwenda kutendeka # Akamwita Ahithofeli Hii inamaanisha kwamba alituma wajumbe kumwita Ahithofeli na kumleta kwake. # Ahithofeli Hili ni jina la mwanamme. # Gilo Hili ni jina la sehemu.