# Hivyo Absalomu akainuka "Hivyo Absalomu anaondoka" # Katika makabila yote ya Israeli Hapa sehemu walipoishi makabila ya Israeli zinatajwa kama makabila yenyewe. # Sauti ya tarumbeta "tarumbeta ikipigwa"