# Hivyo mfalme akamwambia Yoabu Hii inamaana kwamba mfalme alitaka Yoabu aletwe mbele yake ili kwamba aongee naye. # Basi tazama Kifungu kimetumika kuonesha usikivu wa mtu kwa kusikiliza kwa makini kinachosemwa baada ya hapo. # Jambo hili Hii inarejea kwa anachotaka Yoabu mfalme akifanye. # Yoabu akainamisha uso wake chini Yoabu alifanya hivi kwa kumweshimu mfalme na kuonesha shukurani yake. # mtumishi wako Hii ni kuonesha heshima kwa mfalme # Nimepata kibari mbele zako Kifungu "kuona kibari" kinamaanisha kuthibitishwa na mtu fulani. Kifungu "mbele yako" kinarejea kwa anachokifikiri mfalme. # Katika hilo mfalme "kwa sababu mfalme" # Mfalme ametimiza haja "Umefanya nilichokuomba kufanya"