# Kuangalia Hii inamaanisha mtumishi alikuwa akiangalia kwa mbali wakati akilinda katika ukuta wa mji. # Kuinua macho yake Hapa mtumishi anaangalia juu ya kitu kinachozungumziwa kama aliinua macho yake. # Hivyo ikawa Kifungu hiki inatambulisha jambo linalofuata katika habari. # Wakainua sauti zao Hapa wana kulia kwa sauti kunasemwa kama vile sauti zao zilikuwa kitu kilichoinuliwa angani.