# Alipigana Hapa mwandishi anazungumzia Daudi wakati kwa uhalisia anarejerea kwa Daudi na askari wake. # Talanta Kwa vipimo vya sasa ni sawa na "kilo 34" # Jiwe la thamani Jiwe la nadra kupatikana kama vile almasi, rubi, na mengine # Taji iliwekwa katika kichwa cha Daudi mwenyewe Waliweka taji katika kichwa cha Daudi. # Akaondoa Hapa mwandishi anazungumzia Daudi wakati ki halisia anarejerea kwa askari wa Daudi. # Mateka Vitu vya thamani vinavyochukuliwa kutoka kwa adui aliyeshindwa. # Kwa wingi "kiwango" au "idadi"