# Aliomboleza kwa kina Hapa mwandishi anazungumza maombolezo yake kama yalikuwa ndani yake zaidi. # Huzuni Hisia kali ya huzuni iliyosababisha maumivu, kukata tamaa au matatizo # Daudi alituma na kumchukua nyumbani Hapa neno "tuma" linamaanisha alituma mjumbe kumchukua na kumleta kwake. # Kutopendezwa "aliyehuzunishwa" au "kasirishwa"