# Maelezo ya Jumla Yoabu analiweka tayari jeshi kwa vita. # Kwangu, kisha wewe, Abishai, lazima uniokoe Hapa "mimi" inarejea kwa Yoabu anayewakilisha askari wake. Pia, Abishai anawakilisha jeshi lake.