# kunyoa ndevu nusu ya zao Inamaanisha tusi la kuwadharirisha watu. # walikuwa wameaibika sana Hapa "kwa kina" ni usemi unaomaanisha "sana" # Kisha mrudi Inamaanisha kwamba watapaswa kurudi Yerusalemu