# Kwa ajili ya Yonathani "kwa sababu ya upendo wangu kwa Yonathani" # Kwa ajili ya Yonathani Yonathani alikuwa mwana wa Sauli na rafiki wa karibu sana wa Daudi. # Siba Hili ni jina la mwanaume. # Mimi ni mtumishi wako Siba anajiita "mtumishi wako" kuonesha heshima kubwa kwa Daudi.