# Wafilisiti wakaja tena "Walikuja" kwa sababu Wafilisiti waliishi upande wa chini kuliko ngome ya Daudi. # Bonde la Mrefai Hili ni jina la sehemu. # miti ya miforosadi "Miforosadi" ni aina ya miti, na "miti" inaelezea miti ya miforosadi iliyopamoja.