# Baali Perazimu Hili ni jina la sehemu. # Yahwe amewafurikia adui zangu mbele zangu kama mafuriko ya maji Daudi anazungumzia ushindi aliompa Yahwe kama yalikuwa mafuriko yaliyopitiliza kingo zake na kuifunika nchi, yakisababisha uharibifu. Yaani: "Yahwe amewashinda adui zangu kama mafuriko yanavyoishinda nchi"