# Wakamtia mafuta Daudi kuwa mfalme juu ya Israeli "Kutiwa mafuta" ni tendo la alama ya kuonesha kwamba wanatambua kwamba Mungu alikuwa amemchagua Daudi kama mfalme.