# Maelezo kwa Jumla Habari inarudi kwa tendo la Baana na Rehabu waliokuwa wemetambulishwa katika 4:1 # Joto la mchana Mchana, sehemu ya siku ambapo joto ni kali zaidi # kupepeta ngano "kuondoa makapi kutoka katika ngano.