# Wengi wameanguka na wengi wameuawa Maana yake yaweza kuwa 1) "Wengi walikuwa wamejeruhiwa na wengine walikuwa wameuawa" au 2) "Wengi walikuwa wamejeruhiwa na kuuawa."