# nitanyoosha juu ya Yerusalemu kipimo kilichotumika dhidi ya Samaria, na kuangusha msatari utakaotumika dhidi ya nyumba ya Ahabu Maneno "kipimo cha mstari" na "kuunganisha mstari" ni picha kwa ajili ya kiwango cha Yhwe atumiacho kuwahukumu watu. "hukumu Yerusalemu kutumia kipimo kile kile ni nilichotumia wakati nilipoihumu Samaria na nyumba ya Ahabu" # juu ya Samaria Samaria ni mji mkuu na inawakilisha watu wote wa ufalme wa Israeli" # kipimo cha mstari ni kifaa chenye uzito mkubwa na kamba nyembamba kitutumikacho kuonyesha kama ukuta umenyooka # nyumba ya Ahabu Hapa "nyumba" inawakilisha familia. "familia ya Ahabu" # Nitatupa "nitakataa" # wapatia kwenye mkono wa maadui zao "acha maadui zao wawashinde na kuchukua nchi yao"