# Bikira binti Sayuni "Bikira binti Sayuni ni picha ya watu wa Yerusalemu kana kwamba ni wadogo, mahiri na mzuri. "Watu wazuri wa Yerusalemu" Neno "binti" lilitumika kumpatia mtu tabia kwenye mji na baadhi ya waandishi wa kibiblia. # Bikira binti Sayuni amekudharau na kukucheka kwa dharau. Binti wa Yerusalemu akatikisa kichwa juu yako Sentensi hizi zote zinakusudia kutoa maana moja. # Binti wa Yerusalemu "Binti" ni picha ya watu wa Yerusalemu. "Watu wa mji wa Yerusalemu" # akatikisa kichwa juu yako Hili tendo ni picha ya kuwakilisha dharau kwenye kuburi cha Waashuru. # kuinua macho yako katika majivuno Inua macho yako katika majivuno" ni ishara ya mwenyeh kiburi au kuonyesha uso wa kiburi. # Mtakatifu wa Israeli Msemo wa Mungu wa Israeli, Yahwe.