# Sentensi Unganishi Paulo anatetea utume wake kutoka kwa Mungu, paulo anaendelea kusema wazi mambo yale yaliyompata tangu awe mwamini. # Nitaendelea "nitaendelea kuzungumza, hata sasa juu yake" # maono na mafunuo kutoka kwa Bwana Maana zaweza kuwa hizi" Paulo anatumia maneno "maono" na "mafunuo" kumaanisha kitu kile kile kimeunganishwa kwa maneno tofauti ili kutoa msisitizo. # Namjua mtu mmoja katika Kristo Paulo kwa hakika anajisema yeye mwenyewe kama vile alikuwa mtu mwingine, lakini hii ikiwezekana ni lazima itafsiriwe kama ilivyoandikwa. # ikiwa katika mwili, au nje ya mwili, mimi sijui Paulo anazidi kujieleza yeye mwenyewe kama ikiwa hii itatokea kwa mtummwingine. # Mungu anajua "ni Mungu pekee ajuaye" # mbingu ya tatu Hii inalelezea mahali anapokaa Mungu na siyo mbingu au nafasi wazi angani (sayari, nyota, na dunia)