# walitoa Hapa ina maanisha makanisa ya Makedonia. # kwa hiari yao wenyewe 'kujitolea" # kwa kutusihi kwingi Maneno "kutusihi" na "walituomba" hueleza maana ileile na kusisitiza uhodari amnbayo kwao watu waliwasihi. # huduma hii kwa waumini Paulo anarejea kutoa fedha kwa waamini wa Yerusalemu.