# Mungu hututhibitisha sisi na ninyi Maana zake zaweza kuwa 1)" Mungu ambaye huthibitisha uhusiano wetu na kila mmoja wetu kwa sababu tiko ndani ya Kristo" au 2)"Mungjambaye huthibitisha pamoja uhusiano wetu na wenu pamoja na Kristo." # Ameweka muhuri wake juu yetu Hii Ina maanisha kwamba Mungu ametutia amewawekea alama wakristo kama miliki yake ."Ametuwekea alama kuwa mali yake" # Ametupa Roho ndani ya mioyo yetu Hapa neno "Roho" linaeleza utu wa ndani wa mwanadamu. " Ametupa :Roho" kuishi ndani mwa kila mmoja wetu" # Roho ...kama uthibitisho Roho amezungumzwa kama malipo kuelekea uzima wa milele.