# Alifanya yaliyo haki katika macho ya Yahwe, Angalia sura ya 14:1 # Hakugeuka mbali iwe kulia au kushoto. "Hakusita kumtii Mungu katika hali yoyote", au "alitii amri zote za Mungu"