# Lakishi. Huu ulikuwa mji katika Yuda. # Ni kitu gani mnategemea kwa ajili ya kuhimili uvamizi katika Yerusalemu. "Hamna uwezo wwa kuhimili uvamizi unaokwenda kutokea katika Yerusalemu."