# Akajipa ujasiri. Angalia sura ya 15:8. # Hezekia akajipa ujasiri na kujenga. "Hezekia alijipa moyo mwenyewe na watu na wakajenga." # Milo. Hii sehemu ya ukuta amabayo inaushikilia ukuta na kuufanya kuwa imara.