# Yahwe aliishusha chini Yuda kwa sababu ya Ahazi. "Yahwe alimnyenyekeza Ahazi." # Tiglath-pileseri. Hii ni Tiglath-pileseri ya III, pia inajulikana kama Puli.