# Odedi. Odedi hili ni jina la amtu mmoja alikuwa nabii wa Yahwe au Mungu. # Akawatia katika mikono yenu. "Aliwasaidia kuwashinda." # Lakini je, hamko na hatia...dhidi ya Yahwe Mungu wenu. "Lakini kumbuka, ninyi ni wenye hatia...dhidi ya Yahwe Mungu wenu.