# Yeieli, mwandishi, na Maaseya, afsa, chini ya mamlaka ya Hanania, mmoja wa maamri jeshi. Maaseya na Hanania yote ni majina ya kiume. # 2,600...307,500 Elfu mbili na na mia sita (2,600), Laki tatau na elfu saba na mia tano.