# Akafanya yaliyo sahihi katika macho ya Yahwe. Angalia mstaraaisusra ya 14:1. # Katika kila kitu. "Katika namna ile ile." # Alijitoa kumtafuta. "Alijidhatiti kumpendeza."