# Kuisimamisha iwe miungu yake. "Wakaiabudu miungu hii ya uongo." # Kwa nini umeitafuta miungu ya watu ambayo haikuwaokoa hata watu wake yenyewe zidi ya mkono wako. "Mmeiabudu miungu ya watu ambayo hata haikuweza kuwaokoa watu wake ddhidi yako, Mfalme Amazia.