# Watu wote wakaenda kwenye nyumba ya Baali. Karibu watu wote walienda kwenye hekalu la Baali. # Matani. Huyu ni mtu mwanaume aliyeitwa Matani, alikuwa kuhani wa miungu ya Baali