# Meli Hizi ni meli zenye uwezo wa kusafiri katika maji mengi. # Esion-geberi. Angalia ssura ya 8:17 # Maresha. Angalia sura ya 11:5 # Eliezeri. Angalia sura ya 7:8, hili jina lile lile lakini la mtu mwingine tofauti na aliyetajwa katika mstari huo (7:8). # Dadavahu. Jina la kiume.