# Adna...Yehonani...Amasia mwana wa Zikri. Haya ni majina ya majemedari maarufu walikuwa wakiongoza vikosi vya jeshi katika Yuda. # 300,000...280,000...200,000 Laki tatu(300,000), Laki mbili na themanini elfu (280,000), Laki mbili (200,000)