# Macho ya Yahwe yanaona kila mahali Yahwe anaona kila kinachotokea katika dunia yote. # ili kwamba ajioneshe mwenyewe shujaa kwa niaba ya wale amabao mioyo yao ni mikamilifu kumwelekea yeye "Na Yahwe hulinda kwa nguvu zake"