# Hanani Hanani alikuwa mwonaji wakati wa utawalaa wa mfalme wa Yuda. # Waethiopia na Walubi hawakuwa jesi kubwa, wenye magari mengi na wapanda farasi wengi? Waethiopia na Walubi walikuwa jeshi kubwa, lenye magari na wapanda farasi wengi sana