# Kwa nyuso zao juu ya sakafu. Huu ni mkao wa maombi. "Walisudu kwa nyuso zao zikigusa sakafu ya mawe. # Agano lake la kifalme. "Uaminifu wa agano la Mungu" au Mungu ameahidi kuwapenda milele watu wa Israeli."