# Ili jina langu liwe humo. "Ili kujifanya mwenyewe nijulikane huko". # Ametimiza kwa mkono wake mwenyewe. Amewezesha kutokea au amehakikisha kwamba ahadi hizi zinatimia.