# Mlima Moria. Hii ni sehemsu ampako alimtoa sadaka mwanaye, Isaka, kwa Mungu. # Arauna Myebusi. (Tazama: tafsri ya majina) # Siku ya pili ya mwezi wa pili. Huu ni mwezi wa pili wa kataika Kiebrania. Siku ya pili ni karibu na katikati ya Aprili katika kalenda za Magaharibi. (Tazama: tafisri ya miezi ya Kiebrania na tafsri ya tarehe). # Katika mwaka wa nne. (Tazama: tafsri ya tarehe) # Sitini...ishirini "60...20" (Tazama: tafsri ya namba) # Mikono Mikono ni sawa na urefu wa sentimeta 46.(Tazma: tafsri ya umbali).