# linda kile ulichopewa kwa uaminifu hubiri ujumbe wa kweli ambao Yesu amekupa # epuka majadiliano ya kipumbavu usitilie maanani majadiliano yasiyofaa # ambayo kwa uongo huitwa maarifa ambayo kwa ujinga watu wengine huyaita maarifa # wameikosa imani Paulo anazungumzia imani katika Kristo kama vile shabaha yetu # Neema na iwe pamoja nawe Mungu awape neema ninyi nyote. Neno "ninyi" limetumiwa katika wingi na linarejelea jamii yote ya Wakristo.