# Sentensi unganishi: Paulo anaongea juu ya ujio wa Kristo, anatoa maelekezo stahiki kwa matajiri, na mwisho anamaliza na ujumbe muhimu kwa Timotheo. # Nakupa amri hii Hivi ndivyo ninavyokuamuru # mbele ya Mungu katika uwepo wa Mungu. Inaonekana ni kama Paulo anamwomba Mungu kuwa shahidi wake # mbele ya Kristo katika uwepo wa Kristo. Inaonekama ni kama Paulo anamwomba Yesu kuwa shahidi wake # pasipo mashaka Maana tarajiwa 1) Yesu hataona kosa kwa Timotheo au 2) watu wengine hawataona kosa kwa Timotheo # ujio wa Bwana wetu Yesu Kristo mpaka Bwana wetu Yesu Kristo atakapokuja tena