# watu mia sita "600" # kijito mto mdogo # kuandama "kufukuza" au "kufuata" # watu mia nne "watu 400" # mia mbili "watu 200" # waliokuwa wamechoka Hawakuwa na nguvu tena ya kuendelea.