# wakiteka nyara Mara nyingi walivamia na kuchukua mali. # Wagirizi Kundi la watu waliokuwa wakiishi kati ya Filistia na Misri. # uelekeo wa kwenda Shuri "njiani ambapo watu wengi walisafiri kuelekea Shuri" # Shuri Ni mkoa uliokuwepo kaskazini mwa mpaka wa Misri. # Akishi Mfalme wa Gathi.