# Daudi akasema "Daudi aliuliza" au "Daudi aliomba" # mtumishi wako hakika amesikia....... kama mtumishi wako alivyosikia.....mwambie mtumishi wako Daudi anaongea kama mtu mwingine aliyeonyesha heshima yake kwa Bwana. AT "Nimesikia hakika ... kama nilivyosikia ... niambie" # watanisalimisha mkononi mwake Hapa "mkono" inawakilisha nguvu au udhibiti. AT "nipe juu ya Sauli" # kuharibu "kushindwa kabisa"