# Daudi akayaweka maneno hayo moyoni Hapa "ilichukua ... moyoni" ni hali ya kufikiri kwa bidii juu ya kile kilichosemwa. AT "Daudi alifikiria kwa undani kuhusu yale waliyosema watumishi" # mokononi mwake Hapa "mikono" ni metonym kwa mtu. "mbele yao"