# Kukawa na hofu "kulikuwa na woga sana" # Wateka nyara Wafilisti waliokuwa wakiteka nyara miji ya Israeli. # Nchi ikatetemeka "Mungu alisababisha nchi ikatetemeka"