# Umefanya nini? Samweli alikuwa haulizi swali ila alikuwa akimkemea Sauli. Sauli akaanza kujitetea japokuwa alikosea. # Mikmashi Hili ni jina la mahali.