# Taarifa ya jumla: Watu walipokuwa wakitoa dhabihu za wanyama, walichoma mafuta ya mnyama kwanza kisha walichemsha nyama na kula. # Hawakumjua Bwana Hawakumsikiliza Bwana au kumtii. # Desturi Desturi ni tendoambalo watu hulifanya mara kwa mara. # sufuria ... birika ... chombo ... chungu Hivi ni vyombo vinavyotumika kupikia chakula. # sufuria Ni chombo kidogo cha chuma kwa ajili ya kuchemshia. # Birika Ni chombo kikubwa kizito cha chuma kwa ajili ya kuchemshia. # chombo Ni chombo kikubwa kizito cha chuma kwa ajili ya kuchemshia. # chungu Ni chombo cha udongo kwa ajili ya kupikia