# aliteseka kwa ajili yetu Neno "sisi" linajumuisha msemaji, Petro na watazamaji. # Aliuawa katika mwili Kristo alikuwa ameuawa kimwili na kufa kwenye msalaba wa Kirumi wa kuni. AT "Watu walimwua kimwili." # lakini alifanywa hai katika roho Kristo alikuwa amefufuliwa kimwili kutoka kwa wafu au akafufuliwa tena kwa nguvu ya Roho Mtakatifu. # Katika roho, alienda na kuhubiri kwa roho ambao sasa gerezani Baada ya kufa Kristo alikwenda mahali pa wafu na kuhubiri kwa roho za wale waliokufa kabla yake na walikuwa wakiwa mateka.